Wednesday 31 August 2016
Thursday 25 August 2016
Tuesday 5 July 2016
TACOMO KWA KUSHIRIKIANA NA WOMEN FUND TANZANIA WATOA MAFUNZO YA UONGOZI NA HAKI KWA WANAWAKE NA WASICHANA WANAOFANYA BIASHARA KATIKA MASOKO MPANDA MKOANI KATAVI
SERA ya maendeleo ya
wanawake na jinsia ya mwaka 2000 ni moja wapo ya miongozo ya serikali
katika jitihada za kuwapa wananchi mwelekeo wa Maendeleo ya wanawake na
jinsia utakaohakikisha kuwa sera, Mipango, Mikakati na shughuli
mbalimbali za maendeleo katika kila sekta na taasisi katika ngazi zote
zinazingatia usawa wa jinsia.
Sera hiyo inachukuwa nafasi ya sera ya Wanawake katika maendeleo ya mwaka 1992 ili kuingiza dhana ya jinsia katika maendeleo ya jamii.
Dhana ya jinsia ni mtazamo mpya wa kuharakisha maendeleo kwa
kuangalia mahusiano ya jamii kati ya wanawake na wanaume ambayo yanatambua tofauti zilizopo za kijinsi (sex) baina yao pamoja na mgawanyo wa majukumu katika jamii.
Ili kuweza kupata maendeleo ya haraka na endelevu dhana ya jinsia pia inatilia mkazo umuhimu wa kushirikiana na kufanya kazi kwa kutegemeana kati ya wanawake na wanaume.
Hii inatokana na ukweli kuwa, majukumu ya wanawake katika jamiini tofauti nay ale ya wanaume na kuwa yote ni muhimu kwa maendeleo ya familia, jamii na Taifa.
Mwelekeo wa maendeleo ki-jamii, kitaifa na ki-mataifa hivi sasa
unasisitiza na kuhimiza upangaji na utekelezwaji mipango unaozingatia ushirikishwaji wa wanawake na wanaume kwa pamoja katika kutambua, kuthamini na kukuza vizuri zaidi uwezo wa wananchi katika kujiletea maendeleoyao.
Utekelezaji wa sera hiyo unazingatia mchango wa sekta mbalimbaliu za serikali na zisizo za serikali, wataalam mbalimbali wakiwemo wasomi na wanataaluma na watu binafsi wanawake na wanaume. Msukumo upo kwenye kuingiza masuala ya jinsia (Gender Mainstreaming) na kuhakikisha kuwepo kwa shughuli mbalimbali zinazowalenga wanawake (Woman Specific)
ili kuharakisha kuwepo usawa wa kijinsia unaotarajia.
Kutokana na sera hiyo kuelezea pia kuhusu mashirika yasiyo ya
kiserikali kuhusika katika utekelezaji wa sera ya maendeleo ya
wanawake na jinsia, shirila lisilo la kiserikali la Tanzania Community Media Organization(TACOMO), limetoa mafunzo ya kukuza sauti na kuwaimarisha haki za wanawake na wasichana kushiriki nafasi za uongozi katika maeneo ya Masoko ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, chini ya ufadhili wa Woman Fund Tanzania.

Mafunzo hayo ya siku mbili, yalifanyika katika ukumbi wa Shule ya
Sekondari ya St. Mary’s ya Kashaulili huku wanawake 80 na wanaume 11wakishiriki katika mafunzo hayo na mdahalo.
Mkurugenzi wa shirika hilo, Gordon Kalulunga ambaye pia ni Mwandishi wa habari aliyebobea katika nyanja za habari za Afya ya uzazi na dawa za kulevya nchini, aliwataka wanawake na wasichana waliokuwa wameshiriki katika mafunzo hayo, kuwa majasiri na kushiriki katika kuwania nafasi za uongozi ili kuweza kupaza sauti zao.
“Shime natoa kwenu, jitokezeni katika kuwania nafasi za uongozi katika nyanja zote kuanzia huko sokoni, mahala mnapoishi na wale ambao wana vyama vya siasa pia jitokezeni na anapojitokeza mwanamke wanawake wengine muungeni mkono kwa kumchagua”alisema Kalulunga.
Aidha alisema kuwa kuna changamoto kubwa ambao anaiona kwa wanawake wengi kuwa ni uwoga ambao unatokana na viongozi wa serikali hasa ngazi za mitaa, Vijiji na wilaya kutowajulisha wananchi majukumu yao kama viongozi hivyo wananchi hasa wanawake wanabaki katika kifungo cha woga hata wa kuhoji wakihofia misukosuko ya viongozi wa serikali wasio waadilifu.
Wakati anayasema hayo, Ofisa Maendeleo ya jamii wa kata ya Kashaulili na majengo ambaye pia alikuwa mwezeshaji, Imelda Mkama, alipotakiwa kuwaeleza washiriki wa mafunzo hayo majukumu yake ili wafahamu na kuhamasika kuoimba ushauri kutokana na kazi zake, alikataa katu katu na kwamba atakutana nao siku nyingine.
Akitoa mada ya ujasiliamali na uongozi, Ofisa huyo aliwataka wanawake hao kuwa hodari katika kuthubutu.
“Wajasiliamali wengi si wabunifu bali wanaiga biashara. Tusiwe na
biashara moja maana ukimwezesha mwanamke mmoja, umewezesha watu 10.”Alisema Imelda.
Aidha alitoa elimu ya uundwaji wa vikundi kwa wanawake hao na
kuwaambia kuwa pesa ambazo zinatarajiwa kwenda kila kijiji maarufu kama Milioni 50 za Magufuli, hazitagawiwa kwa mtu mmoja mmoja bali zitakopeshwa kwenye vikundi ambavyo vimesajiliwa, hivyo kwa wale ambao wanahitaji kusajili vikundi na kuandika katiba, milango ipo wazi katika ofisi yake.
Katika masoko ya Buzogwe na Mapnda Hoteli, uchaguzi wa uongozi wa masoko hayo unatarajiwa kufanyika June 30, mwaka huu ambapo wanawake kadhaa wamehamasika kuwania nafasi mbalimbali huku wakisema kuwa wanahitaji zaidi elimu na mafunzo kama yaliyotolewa na shirika la TACOMO.
Mwenyekiti wa Soko la Mpandfa Hotel, Boniface Mganyas, ambaye ni mkazi wa Majengo, anasema kuwa wanawake wengi huko nyuma walikuwa na woga wa kujitokeza katika kuwania nafasi za uongozi lakini baada ya semina hiyo tayari wanawake wawili wamejitokeza kujaza fomu za uongozi.

Naye Mwenyekiti wa soko la Buzogwe, Ramadhan Karata, anasema kumekuwa
na changamoto kubwa kuwapata viongozi wanawake ambao baadhi wanazuiliwa na waume zao kuwania nafasi za uongozi.
“Mafunzo kama haya yakiendelezwa yatasaidia sana kuwaondoa wanawake uwoga wa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi katika jamii maana wengi hawana elimu za kutosha ili hali wana hulka za uongozi, hivyo naomba TACOMO mrudi tena na tena na muende katika maeneo mengine kuwahamasiha wanawake ili waweze kujitokeza na pale kwenye soko letu mwanamke mmoja
amesema nimjazie fomu” alisema Karata.
Mkufunzi wa mada ya haki za wanawake, William Simwali, ambaye anaishi na ualubino, aliwataka wanawake hao kuondoa woga kujitokeza katika uongozi na kwamba wajifunze kwa wanawake wenzao ambao ni viuongozi katika Taifa hili na wote wanaweza.
Naye mshiriki wa mafunzo hayo Mwasiti Mohammed, alisema yeye kabla ya uchaguzi wa masoko hayo, atajitokeza pamoja na baadhi ya wanawake wenzake kwenda kuishamilisha elimu aliyoipata kutoka TACOMO na kwamba yeye pia mwaka 2017 atawania nafasi ya uongozi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Wanawake wengi tunahitaji elimu kama hizi, hivyo naona kuna haja ya kuwafuata wanawake huko huko waliko na kutoa elimu hizi za uongozi za kukuza sauti na kuwaimarisha haki za wanawake na wasichana kushiriki nafasi za uongozi katika maeneo ya Masoko ya Manispaa ya Mpanda”alisema Mwasiti.

Monday 4 July 2016
Shisha yapigwa marufuku Tanzania, hakuna kuvuta sigara hadharani Dar
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, jana
amemaliza kazi. Amepiga marufuku matumizi ya ulevi aina ya Shisha nchini ambao
umesambaa kwa vijana wengi pamoja na watu wazima.
Marufuku yake imekuja siku chache
baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kupiga marufuku matumizi
ya kilevi hicho pamoja na uvutaji wa sigara hadharani mkoani humo.
Wengi, hata ambao hawakuwahi kutumia
sigara maishani mwao, walikuwa wamekimbilia uvutaji wa Shisha kwa kujidanganya
kwamba kilevi hicho ambacho nacho kinavutwa, hakina madhara kama sigara.
Wanawake kwa wanaume wanavuta
Shisha, wengine hadharani, na huona fahari wanapojisikia kulewa huku
wakijifariji kwamba hawawezi upata madhara.
Lakini marufuku ya Waziri Mkuu
imemaliza kazi, kwa sababu hivi sasa kilevi hicho kimeharamishwa na hakina
tofauti na dawa za kulevya.
Katazo la uvutaji wa sigara
hadharani limewakumba wengi, kwani si mmoja au wawili wanaotumia sigara, jambo
kuwa ni hatari kwa afya za watumiaji.
Mei 31 ya kila mwaka, ni siku ya
maadhimisho ya siku ya kutotumia tumbaku duniani kote lakini bado inaonekana
matatizo ya matumizi ya tumbaku na uvutaji sigara yanaongezeka kwa kasi kubwa
katika jamii, huku madhara yake yakiwa makubwa ikiwemo maradhi ya kifua kikuu.
Licha ya ukweli kwamba, uvutaji wa
sigara ni aina mojawapo ya uvurugaji wa ustaarabu kwa wasiotumia bidhaa hizo,
sheria ya nchi inapiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani huku suala la
kiafya likipewa kipaumbele.
Fikra Pevu imekuwa ikiandika mara kwa mara kuhusu matumizi na madhara ya uvutaji wa sigara kiafya,
japo kampuni zinazohusika na shughuli za uzalishaji na utengenezaji
zinaiingizia nchi mapato makubwa.
Mnamo mwaka 2003, Bunge la Tanzania
lilipitisha sheria inayokataza matumizi ya sigara hadharani, huku ikilenga
kukomesha madhara ya kiafya kwa wavutaji wenyewe na wale wanaoathirika kupitia
kuvuta moshi wa sigara kutoka kwa wavutaji.
Haya yameelezwa na kufafanuliwa
vyema katika Sheria ya Usimamizi wa Bidhaa za Tumbaku, Sura ya 121 TL, ya mwaka
2003, Kipengele cha 12(1).
‘Uvutaji wa sigara ni hatari kwa
afya yako’, tahadhari ambayo imebandikwa kwenye pakti za sigara, umekuwa kama
wimbo uliozoeleka masikioni mwa watu kuhusu kujulishwa madhara ya sigara,
lakini wanapuuzia huku wakihoji kuhusu uwepo wa madhara na wakati huo huo
viwanda vinapatiwa vibali vya kufanya biashara hizo za uzalishaji na wakulima
wanaendelea kuhimizwa kuongeza uzalishaji.
Kutokana na sheria hiyo kuwepo,
japokuwa imekuwa kimya sana ikiwapa mwanya watu kuwa huru kuvuta sigara kwa
jinsi wanavyohitaji, imemlazimu Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
kutoa tamko juu ya jambo hilo.
Tamko hilo la kupiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani,
linakuja sambamba na zuio la utumiaji wa shisha pamoja na vitendo vya ushoga vilivyoonekana kushika kasi
nchini, huku vikipewa kipaumbele cha kuongelewa hata katika vyombo vya habari.
Makonda amewataka wakuu wapya wa
wilaya katika mkoa wake kulifanyia kazi jambo hilo na kuwakamata wale wote
ambao watabainika wakivuta sigara, shisha na wanaoushabikia ushoga na kuunga
mkono kwa kutoa misaada kupitia NGOs.
Katika matoleo yaliyopita Fikra Pevu
ilieleza baadhi ya madhara ya matumizi ya sigara na tumbaku, ilipoitaja nchi ya China kuwa na idadi kubwa ya watu Zaidi ya milioni
moja wanaokufa kutokana na magonjwa yanayotokana na uvutaji wa
sigara na matumizi mengine ya tumbaku.
Aidha, takwimu za Shirika la Afya
Duniani (WHO) za mwaka 2003, zinaonyesha kuwa kila baada ya sekunde 10, mtu
mmoja hufariki dunia kutokana na maradhi yatokanayo na matumizi ya tumbaku.
Takwimu kutoka (WHO) 2003,
zilionyesha kuwa, inakadiriwa kuwa kufikia mwaka 2025, vifo vitakavyotokana na
matumizi ya tumbaku vitaongezeka kwa kiwango cha asilimia 70 kuliko ilivyokuwa
mwaka 2003.
Pia takwimu hizo zinaonyesha kuwa
kufikia mwaka 2030, idadi ya watu milioni 10 watakuwa wakifariki dunia kila
mwaka kutokana na uvutaji wa sigara ulimwenguni, huku ikitajwa kuwa asilimia 70
ya vifo hivyo vikitoka katika nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwemo.
Wataalamu wa afya wanayataja
magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na matumizi ya tumbaku au sigara
kuwa ni; saratani ya ngozi, saratani ya mapafu, saratani ya kizazi, saratani ya
koo, saratani ya kinywa, saratani ya kibofu, matatizo katika mfumo wa upumuaji,
udhaifu katika mifupa (Osteoporosis), kuwahi kumaliza kufikia mzunguko wa hedhi
kwa wanawake kabla ya muda wa ukomo, athari kwa wajawazito (kuzaa mtoto njiti),
kupungukiwa na vitamin mwilini pamoja na kupungua kwa nguvu za kiume au kike.
Tafiti mbalimbali zinaonyesha
kwamba, madhara ya hewa ya tumbaku na sigara si kwa wanadamu pekee, bali hata
wanyama na mimea vinaathirika kutokana na moshi huo kwani usambaa kwa haraka
kufika mbali kitu ambacho huwezi kugundua kwa njia ya kawaida isipokuwa vipimo
maalum vya hewa.
Mwaka 1993, Shirika la Kulinda
Mazingira la Marekani (EPA) lilitoa taarifa kukadiria kwamba zaidi ya wanyama
3,000 ikiwemo mimea hupoteza maisha kila mwaka, kutokana na kupokea hewa ya
sigara au tumbaku.
Kuvuta moshi unaotokana na mtu
mwingine au vitu vingine ambao siyo moja kwa moja, ni hali mojawapo ya uvutaji
wa sigara, ambayo madhara yake ni sawa na yule mtu anayevuta moja kwa moja, pia
husababisha magonjwa, hivyo basi tamko la mkuu wa mkoa kuzuia uvutaji hadharani utasaidia kupunguza madhara ya
kiafya, inabidi liwe mfano kwa mikoa mingine kote nchini ikiwa ni
utekelezaji na kuimarisha afya za Watanzania.’
Tuesday 12 April 2016
APOTEZA KICHANGA WODINI
Na Gordon Kalulunga, Mbeya
MTOTO mchanga wa siku nne amefariki
dunia katika Hospitali teule ya wilaya ya Mbeya, Ifisi Mbalizi kwa kile mzazi
wake alichodai kuwa ni kutopata msaada kutoka kwa wauguzi wa Hospitali hiyo.
Tukio hilo limetokea usiku wa saa sita
Machi 27, mwaka huu ndani ya wodi ya wazazi hospitalini hapo.
Akizungumza na Gazeti hili nyumbani
kwao baada ya mazishi ya kichanga hicho, mama mzazi wa mtoto huyo Paulina Daud
(22), huku akilia alisema kuwa, alipelekwa Hospitalini hapo akiwa mjamzito
Machi 24, mwaka huu, majira ya saa tatu asubuhi ambapo saa tano alijifungua kwa
njia ya upasuaji.
“Mtoto alikuwa salama na alikuwa
akinyonya vizuri nami nikiwa naendelea kuuguza kidonda mpaka tarehe 26 usiku wa
saa nne mtoto akawa analia sana ndipo nikaomba msaada kwa muuguzi mmoja akasema
yeye hausiki na wodi letu” alisema Paulina.
Alisema pamoja na maumivu ya kidonda
chenye mshono, alipoona mtoto anazidi kulia akaamua kujikongoja mpaka chumba
cha wauguzi na kuwaeleza tatizo lake, badala ya kwenda kumsaidia wakamwambia
aende akamchukue mwanae na kumpeleka chumba walichokuwa wauguzi.
“Nikarudi wodini na kumbeba mtoto kwa
shida kisha kumpeleka chumba cha wauguzi na mmoja wa wauguzi akasema nimwamshe
mwenzake aliyekuwa amelala pembeni na nilipomwamsha wakamwangalia mwanangu
wakasema tayari amefariki” alisema Paulina huku akiangua kilio…
Mama mzazi wa Paulina Sekela Daud,
alisema kichanga tangu kipate uhai wake hakikuwa na matatizo yeyote na kwamba,
alipopata taarifa ya kifo hicho alishtuka na kuamua kutafuta usafiri kutoka
Mbalizi usiku huo na kwenda Hospitalini.
“Nilifika saa kumi na moja alfajiri
Hospitalini na niliwaomba walinzi waniruhusu kwa kuwaambia kuwa nilikuwa
nimeitwa na wauguzi kwa tatizo la mwanangu, wakaniruhusu na nilipofika nikakuta
hali hiyo na nilipowauliza wakasema hawajui sababu yeyote iliyosababisha kifo
cha mjukuu wangu” alisema Sekela.
Alisema baada ya taratibu na mabishano
kadhaa hospitalini hapo, wakaruhusiwa kutoka na maiti majira ya saa tatu
asubuhi na mama mzazi wa kichanga aliruhusiwa kutoka majira ya saa sita mchana
na anatakuwa kwenda Hospitalini hapo kutoa nyuzi April 5, mwaka huu.
Machi 29, mwaka huu, mwandishi wa
habari hii alifika katika Hospitali hiyo ya Ifisi Mbalizi na kufanya mahojiano
na Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali hiyo Dr. Msafiri Kimaro, ambaye alisema
kuwa hakuwa na taarifa.
Baada ya mahojiano zaidi Dr. Kimaro
alimchukua mwandishi na kuongozana naye kwenda wodini kwa ajili ya kuangalia
nyaraka ambapo alijiridhisha kuwa mjamzito huyo alijifungua salama na mtoto
alikuwa salama lakini pia katika jarada la Paulina wataalam hao wameandika kuwa
hawajaona sababu yeyote iliyosababisha kifo cha mtoto huyo.
“Ninakuomba siku ya Alhamisi (Machi
31, mwaka huu), ufike kwa ajili ya taarifa zaidi ili nifuatilie” alisema Dr.
Kimaro.
Machi 31, mwaka huu, tayari timu ya
wataalam kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbeya ilifika katika
hospitali hiyo kuhoji jambo hilo na mengine ambayo gazeti hili linaendelea
kujiridhisha likiwemo mwanamke aliyefanyiwa upasuaji na kushindwa kushonwa
vizuri na sasa tumbo lake limeanza kuvimba na anatakiwa kufanyiwa upasuaji mpya
ili ashone vyema katika hospitali ya wazazi Meta.
April mosi mwaka huu, mwandishi
alifika tena hospitalini hapo na kukutana na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dr.
Msafiri Kimaro na Katibu wa Hospitali hiyo, Dick Balagasi, ambapo walisema
maelezo yote mwandishi anapaswa kuyapata kwa wauguzi waliokuwa zamu maana wao
hawakuwepo siku tukio hilo likifanyika.
“Kalulunga lakini unapaswa kudumisha
mahusiano na nasi maana tumeambiwa kuwa unaishi jirani hapa, hivyo ni vema
tukadumisha mahusiano kuliko ukisikia jambo unaandika” alisema Balagasi kabla
hajakatishwa na kauli ya mwandishi wa habari kuwa “Hisia zisiondoe uhalisia”.
Hata hivyo ikumbukwe kuwa, mtindo wa
uongozi wa Hospitali hiyo kuwa na kifua kikubwa cha kuwatetea baadhi ya
watumishi wanaoshindwa kuwajibika vizuri ulisababisha mjamzito Sabina Mwakyusa
(28), kufukuzwa wodini na kujifungulia katika geti la hospitali hiyo kwa msaada
wa walinzi huku mvua ikinyesha usiku.
Tukio hilo lilitokea usiku wa Desemba 19, mwaka 2013,
ambapo baadhi ya wauguzi waliokuwepo katika chumba cha matazamio ya kujifungua,
walidaiwa kumfukuza na kumpiga mjamzito Sabina Mwakyusa(28) mkazi wa Kijiji cha
Iwala, kata ya Utengule Usongwe wilayani humo.
Sabina, alisema alifika hospitalini hapo Desemba 18, 2013 na alipimwa na
manesi ambapo walimwambia kuwa hawamuoni mtoto tumboni mwake.
‘’Baadaye akaja Daktari na kunipima, akaniambia mtoto anaonekana vizuri
na ningejifungua mtoto wa kike ndipo nikaendelea kusubiri uchungu zaidi’’
alisema Sabina.
Alisema ulipofika usiku wa Desemba 19 majira ya saa mbili usiku, alianza
kujisikia uchungu, ndipo manesi waliompima mwanzo wakamwambia anatakiwa apimwe
tena jambo ambalo alikataa kwa madai kuwa alikuwa akiumizwa, ndipo wakamwambia
aondoke hospitalini hapo kwasababu ana kiburi.
‘’Baada ya kuonekana mimi nasita kuondoka, wakaanza kunipiga na kunipatia
biki na kunilazimisha kuandika kuwa mimi sitaki kujifungulia hapo ndipo
tukatoka na mama na kwenda nje ya geti na kujifungulia getini huku mvua
ikinyesha’’alisema Sabina Mwakyusa.
Alisema, mama yake na baadhi ya wajawazito waliokuwepo ndani ya wodi
hilo, walijaribu kuwabembeleza wasimfukuze lakini walikataa.
Mama mzazi wa mwanamke huyo, Roda Mwakyusa(50), alisema anaumia
akikumbuka yaliyomkuta mwanaye ikiwa ni uzao wake wa kwanza.
‘’Niligaragara mweeeh! kuwaomba msamaha wale manesi ili wamsamehe na
kumhurumia huyu mtoto wangu, lakini walikataa wakisema kuwa ana kiburi sana’’
alisema Prisca Mwakyusa.
Alisema walipotoka wodini huku mwanaye uchungu ukimzidi, walifika getini
akazidiwa. Chupa ikapasuka. Damu zikaanza kumvuja; alikaa muda mrefu zaidi ya
saa moja na kuanza kujifungua ndipo walinzi wa kampuni ya Mult-Lion,
wakamsaidia kumpeleka katika upenu wa duka la hospitali hiyo ili kukwepa kokoto
zilizopo na mvua iliyokuwa ikinyesha.
Mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya Mult-Lion, Kinanda Sanga, alipoulizwa
kuhusu tukio hilo, alisema kuwa hakuwa na taarifa lakini baada ya kuwauliza
askari wake walimpatia taarifa ya tukio hilo kuwa lilitokea na wao wakatoa
msaada.
Dada wa msichana huyo, Enitha Mwakyusa(35), alisema alipigiwa simu majira
ya saa tano usiku na mama yake mzazi akimweleza yaliyomkuta mdogo wake na
kwamba atafute gari la kwenda kuwachukua.
‘’Mama alinipigia simu usiku, nikawaamusha majirani ambao walikuwa na
namba za madereva tax, ambapo saa saba walifika hapa nyumbani Mapelele’’
alisema Enitha.
Wifi wa Sabina Mwakyusa, Prisca Nafred, alisema alimpeleka mtoto
aliyezaliwa katika hospitali hiyo majira ya saa saba mchana ya Desemba 20, kwa
ajili ya chanjo, lakini hakupata chanjo kwa madai kuwa alikuwa amechelewa
kufika, hivyo alitakiwa kufika siku ya Jumanne Desemba 24, mwaka huo.
Desemba 21, familia hiyo ilimpigia simu Mwandishi wa habari wakimweleza
kuhusu maendeleo mabaya ya mtoto ambapo Mwandishi wa habari hizi alimtaarifu
Mratibu wa afya ya mama na mtoto mkoa wa Mbeya, Prisca Butuyuyu, kuhusu suala
hilo ambapo makubaliano yaliafikiwa kuwa mtoto apelekwe Hospitali ya Rufaa,
kitengo cha wazazi Meta.
Mtoto huyo alipokelewa Meta na kuingizwa kwenye chumba cha joto kisha
kuanza kupatiwa matibabu kwa kuwekewa drip za maji mpaka Desemba 23 mwaka huu.
Mganga Mkuu wa wilaya ya Mbeya Louis Chomboko, alipopata taarifa,
alichukua hatua ya kwenda kumuona mtoto huyo katika hospitali ya Meta.
‘’Nimeonana na mama wa mtoto na kumuona mtoto chumba cha joto na kupata
maelezo yote ikiwa ni pamoja na maelezo ya file la Meta hivyo nipe nafasi tena
kufuatilia tukio hili hospitali ya Ifisi na tukibaini ukweli tutachukua hatua’’
alisema Dr, Chomboko akimsihi Mwandishi kutoandika kwanza habari hii.
Mwezi Desemba mwaka 2012, Mama mmoja(jina tunalo), aliyekuwa anaumwa BP,
alichomwa sindano (dawa)ambazo haziendani na ugonjwa wake na mmoja wa watoto
wake alipohoji kwa uongozi wa hospitali hiyo alijibiwa kuwa hapaswi kugombana
na wauguzi! Kisha akaitwa Dr. Kenneth, ambaye aliamua kuokoa maisha ya mama
huyo katika hospitali hiyo ya Ifisi kwa kumchoma sindano ya dawa iliyokuwa
ikitakiwa.
Announcement: Applications for content and rural dispatch grants now open
April 06, 2016 | accountability,capacity building,Frontpage,media,rural,tanzania | Fausta Musokwa | Comments Off on Announcement: Applications for content and rural dispatch grants now open
Tanzania Media Foundation is pleased to announce that it will now be receiving applications for the Rural Dispatch and Content grant.
The Rural Dispatch grant, whose recipients
may come from rural or urban areas, aims to increase to increase
quality, quantity and diversity of rural voices and issues of ordinary
people in the media. It was successfully offered to more than 500
journalists under the Tanzania Media Fund project, whose work is now
being conducted by the new TMF.
This year, TMF will issue 60 of the total
150 grants it expects to issue to journalists during the implementation
of its 2015 – 2018 strategic plan. This call is specifically directed at
journalists who opt not to go through the ideation process which TMF
will conduct with journalists later in April. Ideation is a process
through which journalists pitch their story idea to a mentor who then
helps them to strengthen and improve it. Thereafter, the mentor makes a
recommendation to TMF on the quality of the story idea.
Following TMF’s
February and March outreach to journalists in 19 regions across
Tanzania, the organisation expects from April 18, 2016 to provide
ideation to over 500 journalists, based on registration.
The Content Grant is also a continuation of
the institutional grants issued under the Tanzania Media Fund
project. The objective of this grant is to enable both non-media outlets
– such as independent producers, media associations/organizations and
training institutes – and media outlets to produce specialised,
well-researched quality content. TMF aims to 30 content grants, each
valued at USD100,000, during the current strategic period (2015-2018).
This year, the organisation will issue nine grants of this kind.
Deadline for applications is 5th May, 2016.
All applications for these grant categories must be made online,
through TMF’s Flexi-grant system, available on https://tmf.flexigrant.com.
For more information, access the calls on the links below:
To avoid disqualification, carefully read and follow the instructions on how to apply.
Tuesday 29 March 2016
VIONGOZI WA MTAA WATUHUMIWA UTATA WA FEDHA ZA UMMA
MWENYEKITI
wa mtaa wa Nsalala katika Mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi, Stephano
Mshani na Ofisa mtendaji wa eneo hilo Lwitiko Mwaibindi, wametuhumiwa na
wananchi wa eneo hilo kukiuka taratibu za uhifadhi wa fedha zao.
Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika ofisi za mtaa huo mwishoni mwa wiki, walisema kuwa, viongozi hao wameuza ardhi ya serikali kisha fedha hizo kuzihifadhi katika akaunti binafsi ya Mwenyekiti huyo.
Akijibu tuhuma hizo, Mwenyekiti huyo alikiri kufanya hivyo na kwamba ardhi hiyo waliuza kiasi cha Milioni Nane.
Baada ya kusema hivyo, ndipo Ofisa Mtendaji wake aliinuka na kulanusha kiasi hicho cha fedha na kwamba Mwenyekiti wake hajawa mwaminifu maana ardhi hiyo waliuza Tsh. 8,650,000.
Ndipo Mwenyekiti aliendelea na kukiri kuwa ni kweli ardhi hiyo iliuzwa kwa kiasi alichokieleza ofisa mtendaji.
Kufuatia utata huo, hali ikabadilika ndipo Diwani wa kata ya Nsalala Kissman Mwangomale, aliinuka na kuwasihi wananchi kuwa watulivu huku akisema kuwa viongozi hao wote ni watuhumiwa na inabidi wakajipange upya.
Alipomaliza kutoa ushauri huo, Mwenyekiti Mshani aliinuka na kuwaambia wananchi kuwa wawape muda na wataleta taarifa ya mapato na matumizi ya fedha hizo ifikapo Aprili mosi mwaka huu na akaahirisha mkutano.
Baada ya kuahirisha mkutano, ikatokea sintofahamu kwa baadhi ya wananchi jinsi mkutano ulivyoairishwa, ndipo Diwani Mwangomale aliwatuliza na kuwaambia kuwa wavute subira mpaka siku ya Ijumaa.
Mwandishi wa habari hii, aliwafuata viongozi hao ofisini ambako walimtaja mnunuzi kuwa ni Gasper Mwamakula (Mtaribani).
"Hizi pesa tulizipokea Machi 17, mwaka huu na nikiwa mimi, Mwenyekiti na mjumbe wetu mmoja tukamteua Mwenyekiti akapeleke pesa hizo kwenye akaunti ya Kijiji lakini baadae akasema ameweka kwenye akaunti yake na kuanza matumizi ndipo nikaandika taarifa kwa Ofisa mtendaji wa kata.kumjulisha na nakala kwa Mkurugenzi" alisema Lwitiko Mwaibindi.
"Hizi pesa ni kweli nilikabidhiwa kupeleka kwenye akaunti ya serikali lakini nilipofika kule nikaambiwa akaunti ipo Domant, ndipo nikarudi na pesa nikawaambia wenzangu wakanikubalia kuweka kwenye akaunti yangu kumbe ulikuwa mtego" alisema Stephano Mshani.
Hata hivyo, imebainika kuwa, tayari fedha hiyo imeanza kutumika kwa ajili ya kununulia vifaa vya ujenzi wa darasa moja la shule ya msingi Nsalala huku Mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi ikiwa haijui chanzo cha fedha hizo ambazo kisheria mali iliyouzwa ilikuwa ni ya Mamlaka na wala si kitongoji.
Vifaa vilivyonunuliwa mpaa sasa kupitia fedha hiyo ambayo Mwenyekiti licha ya kuimiliki kwenye akaunti yake lakini amesema hajui katumia kiasi gani na amebakiwa na kiasi gani ni pamoja na Cement mifuko 60, Nondo 6, Chokaa mifuko 25, misumari, Mchanga trip 3, Madirisha 18, Rangi za ubao lita 3, Bomba za Varanda 3, Milango na flemu zake 3, Bati 7, Shata zamadirisha 36, Mabanzi 12, Kupaka Oil 40,000, Usafiri 50,000, Posho za mafunzi 400,000 na Mbao 900,000.
Baadhi ya mafundi walipoulizwa wamesema kuwa hizo fedha hawajakabidhiwa.
Hata hivyo, jitihada za kujinasua kwa wahusika zinaendelea, ambapo jana juzi Machi 27, mwaka huu, taarifa zimedai kuwa Mwenyekiti wa mtaa huo Stephano Mshani alikutana na mwanasheria wa Halmashauri ya Mbeya, Gasper Msivala na mwanasheria huyo alipoulizwa kwa njia ya maandishi (SMS), alikiri Mwenyekiti huyo kwenda nyumbani kwake na kueleza hali ilivyo huku akiwa mpole na kwamba yeye kamweleza madhara ya alichokifanya na kwamba Mwanasheria hana mipaka ya kutoa ushauri...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbeya, Upendo Sanga alipotafutwa ofisini kwake, hakupatikana kwa maelezo ya Katibu muhtasi wake kusema kuwa alikuwa yupo kwenye kikao ofisi za mkoa wa Mbeya.

WANANCHI 78 MBEYA, WAKOSA UMEME TANGU MWAKA 2012
Na Gordon Kalulunga, Mbeya
Wananchi wapatao 78 katika mji mdogo wa Mbalizi jimbo la Mbeya Vijijini mkoani Mbeya, wameshindwa kupatiwa huduma ya umeme tangu walipoomba huduma hiyo mwaka 2012.
Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi alipotembelea katika eneo hilo shina la Umoja Mtakuja, walisema wana uhitaji wa nishati hiyo lakini mpaka sasa wanasubiri majaliwa na matakwa ya shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Walipoulizwa kama kuna taratibu zozote walizozifanya, walisema tangu mwaka 2012 walijiorodhesha na kupeleka majina yao Tanesco lakini hawajapata jawabu lolote wala kuwaona maafisa wa shirika hilo kupita katika eneo hilo lililopo jirani kabisa na shule ya Sekondari Usongwe ambayo ina umeme.
Mwandishi wa habari hii alifanya jitihada za kuweza kupata majina ya wananchi hao, ambapo alifanikiwa kuyapata majina hayo yakiwa yamesubirishwa katika mafaili ya Tanesco mkoa wa Mbeya.
Majina hayo ni kama yafuatayo;
Boazi Luvanda, Kravery Kazembe, Frank Masinga, John Erasto, Mwanyanje Mwampamba, Issa Mwakifuna, Tosigwe Mwakyusa, Nelbert Mwamwaja, Gimi Ngobile, Ali Ayubu, Maiko Songela, Jasi Mwampashi, Leonard Mwaipopo, Kenneth Simon, Saidi Hayola, Eva Mwakalobo, Pamphili Lema na Paulo Kameta.
Wengine ni Julius Simbeye, Laston Mtafya, Somo Mwakaje, Godwin Sikabenga, Elizabeth Mwalugaja, Waziri Ezekia, Peter Jackson, George mashiwawa, Lazaro Nyusu, Regan Mwankemwa, Gerad Mitingi, William Samson, Geremano Ndelwa, Asajile Godwin, Mlewa Msyani, Aden Kamokene, Mwasomola Mwisivileghe na Tumaini Syonga.
Wananchi wengine waliomo kwenye orodha ya karatasi hiyo ya tangu mwaka 2012 ni Hassan Chaula, Tamali Sampamba, Amani Mwasimba, Felista Josphat, Abdul Ng'elenge, Juma Mwazembe, Aloyce John, Burton Bukuku, Amos Samwel, Tamali Philimon, Gabriel Mtawa, Bahati Ndele na Israel Makobeli.
Wengine ni Maria Mkwela, Gezi Mwashilindi, Jestina Mwalwiji, Hezero Sekeni, Emmanuel Mwandagane, Maiko Yisambi, Justini Francis, Waziri Mwangoka, Luka Kasebele, Edward Mwakyusa, Joseph Kasekwa, Lusajo Boniface na Lusekelo Amenye.
Fadhili Mwashiwawa, Yohana Mbuba, Steven Ngonya, Laison Mwakibinga, Medelina Mwasenga, Mery Pilla, Jackson Halinga, Said Mganga, Sadock Nduka, Sharifu Adson, Mado Godwin, Thobias Mwambona, Paulo Mwewe na Imani Mwaihojo.
Endapo wateja hao wangekubaliwa kupatiwa huduma hiyo ya umeme wa majumbani, kila mmoja angepaswa kulipa kiasi cha Tsh 177,000 ambapo jumla yake ingekuwa Tsh 13,806,000 bila huduma ya nguzo na kila mmoja baada ya kuisha Unit 50 za awali, angepaswa kulipa Tsh. 40,000 ambapo jumla wangelipa 3,120,000 na kila mwezi angelipa Tsh. 10,000 kwa basi shirika hilo lingepata Tsh 780,000 kwa kila mwezi.

Thursday 24 March 2016
MIONGOZO RAHISI YA USIMAMIZI SHIRIKISHI NA UVUNAJI MISITU KATIKA VIJIJI YAZINDULIWA RASMI
Meneja wa kampeni ya Mama Misitu, Gwamaka Mwakyanjala (katikati) akionyesha
miongozo hiyo kwa waandishi wa habari, kulia kwake ni Mratibu wa Ukaguzi na
Tathmin wa Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), Wilbard Mkama na kushoto kwake
ni Mratibu Kikundi Kazi Misitu Tanzania, Cassian Sianga.
Balozi wa Kampeni ya Mama Misitu, Asha Salimu alizungumza jambo wakati
wa uzinduzi wa miongozo hiyo.
Mkurugenzi wa Shirikisho la Viwanda vya Misitu Tanzania na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF),
Ben Mfungo Sulus akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa miongozo hiyo.
Wadau wa Misitu wakifuatilia mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Waandishi wa Habari za Mazingira
Tanzania (JET), John Chikomo, akizungumza juu ya umuhimu wa wanahabari katika
kutoa elimu ya mazingira.
Picha ya pamoja.
Kampeni ya Mama Misitu (MMC) kwa
kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii Machi 23, 2016 imezindua miongozo
miwili rahisi ya usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja na uvunaji katika
misitu ya hifadhi ya jamii.
Miongozo hiyo ambayo imetokana na
miongozo ya Kiingereza ambayo awali ilichapishwa na Wizara ya Maliasili na
Utalii mwaka 2013, inalenga kurahisisha kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya
uhifadhi na uvunaji wa rasilimali za misitu kuanzia ngazi za taifa hadi kwa
wananchi wenyewe.
Meneja wa kampeni hiyo Gwamaka Mwakyanjala anasema iliwalazimu kuiweka
miiongozo hiyo katika lugha rahisi ya Kiswahili ili kuwezesha wananchi kuelewa
na kuchukua hatua.
“Miongozo ya awali ilikuwa katika lugha ya kingereza na
hivyo kukwaza zoezi la uelimishaji kwa wananchi, tunaamini kwa kutumia miongozi
hii iliyo kwenye lugha ya Kiswahili ujumbe utafika kwa walengwa na kampeni yetu
itafanikiwa pia” anasema Gwamaka.
Uzindui huo ambao ulifanywa chini ya Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF) ulihudhuria na wadau mbalimbali wakiwemo waandishi wa
habari, viongozi mbalimbali kutoka taasisi za serikali na mashirika binafsi.
Kawaida
Kampeni
ya Mama Misitu (MMC) kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii
Machi 23, 2016 imezindua miongozo miwili rahisi ya usimamizi shirikishi
wa misitu kwa pamoja na uvunaji katika misitu ya hifadhi ya jamii.
Miongozo hiyo ambayo imetokana na miongozo ya Kiingereza ambayo awali
ilichapishwa na Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 2013, inalenga
kurahisisha kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya uhifadhi na uvunaji wa
rasilimali za misitu kuanzia ngazi za taifa hadi kwa wananchi wenyewe.
Meneja wa kampeni hiyo Gwamaka Mwakyanjala anasema iliwalazimu kuiweka
miiongozo hiyo katika lugha rahisi ya Kiswahili ili kuwezesha wananchi
kuelewa na kuchukua hatua.
“Miongozo ya awali ilikuwa katika lugha ya
kingereza na hivyo kukwaza zoezi la uelimishaji kwa wananchi, tunaamini
kwa kutumia miongozi hii iliyo kwenye lugha ya Kiswahili ujumbe utafika
kwa walengwa na kampeni yetu itafanikiwa pia” anasema Gwamaka.
Uzindui huo ambao ulifanywa chini ya Jumuiko la Maliasili Tanzania
(TNRF) ulihudhuria na wadau mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari,
viongozi mbalimbali kutoka taasisi za serikali na mashirika binafsi.
Chanzo; Maliasili zetu blog.
Monday 7 March 2016
Timu ya Taifa U21 ya Hockey yakabidhiwa bendera
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye katika hafla ya kuiaga Timu ya Taifa ya Magongo U21 kwenda Windhoek, Namibia |
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 21 (U21) ya mchezo wa magongo
imetakiwa kupambana na kurejea na ushindi katika michuano ya vijana barani
Afrika inayotarajia kuanza Machi 18 mwaka huu jijini Windhoek, Namibia.
Akizungumza katika hafla fupi ya kuikabidhi bendera timu hiyo jana,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ofisini kwake jijini
Dar es Salaam jana alisema ana imani kubwa kwa vijana hao ambao ni mara yao ya
kwanza kufanya vizuri.
Nape alisisitiza, nidhamu watakayoionesha na kujituma katika michuano
hiyo itakayotia nanga Machi 28 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kufuzu kucheza
Kombe la Dunia la Vijana Novemba mwaka huu nchini India italitangaza taifa
katika mchezo huo na utakuwa mwanzo mzuri.
Kwa upande wao manahodha wa timu hiyo Eliezer Jeremiah na Irene Albert
walisisitiza kuwa licha ya kuwa ni mara yao ya kwanza kushiriki watajitahidi
wawezavyo huku wakimsikiliza kocha wao ambaye amewapa mazoezi ya kutosha.
Kocha Valentine Quranta alisisitiza kuwa amekianda kikosi vizuri licha
ya kwamba ushindani utakuwa mkubwa sana endapo atapangwa na Ghana, Kenya au
Namibia ambao wako vizuri katika mchezo huo.
Pia Ofisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Waziri Barnabas alisisitiza ulazima wa
kuisaidia timu hiyo baada ya waziri kuwaomba wafadhili kujitahidi kuingia
mikataba ya muda mrefu ili kuweka programu thabiti.
Aidha Mwenyekiti wa Chama cha Magongo Tanzania (THA), Ibrahim Sykes
alisema wanaendelea na juhudi za kuupanua mchezo huo lakini wanakabiliwa na
kikwazo cha vifaa suala kwa wizara husika.
Katika hafla hiyo, NMB walitoa shilingi mil. 25 na mabegi ya kusafiria
huku Diamond Motors nao wakiunga mkono juhudi za timu hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)